B

Total Pageviews

b

b



Funny Photos at http://www.funny.org.in

;;;;



Funny Photos at http://www.funny.org.in

xx

clock2

Friday 31 August 2012

VIDEO:HII NDIYO MOVIE YA MWISHO YA KANUMBA (LOVE AND POWER) ILITABIRI KIFO..INATOKA SOON



VIDEO:HII NDIYO MOVIE YA MWISHO YA KANUMBA (LOVE AND POWER) ILITABIRI KIFO..INATOKA SOON

Nina uhakika bado hujaona Trailer ya movie ya mwisho ambayo Marehemu Muigizaji Steve Kanumba aliicheza, fahamu kwamba Trailer yake ndio hiyo hapo chini na movie inaanza kuuzwa muda wowote kuanzia sasa, hii ndio movie ambayo Director msaidizi aliefanya kazi na Kanumba kwa miaka saba alisema ilikua kama inatabiri kifo lakini siku chache baadae mwigizaji mkuu ambae ni Irene Paul alikanusha na kusema maneno ya director huyo hayakua na ukweli wowote, haifanani na jinsi kifo cha Kanumba kilivyotokeamovie ainaitwa LOVE AND POWER.
.

No comments:

Post a Comment