B

Total Pageviews

b

b



Funny Photos at http://www.funny.org.in

;;;;



Funny Photos at http://www.funny.org.in

xx

clock2

Friday 31 August 2012

HII NI MAALUMU KWA ARSENAL FUN'S TU



HII NI MAALUMU KWA ARSENAL FUN'S TU

ENAL TU!

Posted: 30th August 2012 News
5


.

.
Mchezaji mkongwe Frank McLintock ambae aliwahi kuichezea Arsenal 1971 na kushinda mataji mawili amesema amekasirishwa na kitendo cha club hiyo kushindwa kumshawishi Theo Walcott mapema kubaki kuichezea club hiyo.
Katika kikosi cha Arsenal 2009, wachezaji waliobaki mpaka sasa hivi ni watatu tu akiwemo Walcott, Kieran Gibbs and Lukasz Fabianski, wakati saba waliokuepo kwenye hicho kikosi cha 2009 wote waliuzwa kwa dau la jumla ya pound milioni 145. 
Robin van Persie, Cesc Fabregas Samir Nasri, Alex Song, Kolo Toure, Emmanuel Adebayor and Emmanuel Eboue wote waliuzwa jambo ambalo limempa hasira mchezaji huyo wa zamani wa Arsenal Frank Mclintock.
Defender Mikael Silvestre aliachiliwa huru tu na kocha akatimka zake 2010.

No comments:

Post a Comment