B

Total Pageviews

b

b



Funny Photos at http://www.funny.org.in

;;;;



Funny Photos at http://www.funny.org.in

xx

clock2

Monday 12 November 2012

MSHINDI WA BSS


HUYU NDIYE MSHINDI WA BONGO STAR SEARCH NA HAPA AKIKABIDHIWA MZIGO WA MIL.50

Walter Chilambo ameibuka mshindi wa shindano la Epiq Bongo Star Sesrch 2012 usiku huu kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam baada ya kuwabwaga washiriki wenzake wanne alioingia fanali, hivyo kuzawadiwa papo hapo kitita cha Sh. Milioni 50.
Salma Yussuf Abushir amekuwa wa pili na Wababa Mtuka amekuwa wa tatu, wakati ndugu wawili, Nsami Nkwabi na Nshoma Nghangasamala hawakuingia tatu bora.
Walter akikabidhiwa begi lake la Milioni 50

Walter akiwapungia mashabiki baada ya kushinda




WACHAWI WADONDOKA NA UNGO,WACHOMWA MOTO HADI KUFA





INASIKITISHA mno kuiangalia video hii lakini hatuna budi kuujua ukweli. Tukio hili linahusisha wachawi wanne (wawili wanawake na wawili wanaume) walipodondoka na ungo walipokuwa katika harakati za kwenda kuroga kwenye nyumba za watu .
 

Taarifa zaidi zinaseama kuwa wachawi hao walidondoka mara baada ya kile kinachhonekana kuwa ni upinzani kutoka kwa wengine wenye nguvu kuliko wao kuidondosha ndege yao(UNGO) kwenye mishale ya saa kumi ALFAJIRI.

  
Kilisikika kishindo kizito sana wakati wa mwanguko huo na hivyo kupelekea wanachi ambao ni majirani wa hapo karibu kuanza kutoka nje kushuhudia ni nini kimetokea na ndipo walipopigwa na butwaa pale walipowakuta wachawi hao wanne wakiwa wamedondoka chini huku wakiwa hawana nguvu tena ya kupaa!!

  
 Wananchi walizidi kuongezeka mno na hivyo kujaza umati katika eneo hilo.


Habari zinadai kuwa mara baadaya kukamatwa wachawi hao walikusanywa na kuwekwa mbele ya hadhara ya watu na kuanza kushambuliwa na watu wenye hasira kali.

 

HATIMA ya wachawi hao ilifika pale wananchi hao waliwamwagia mafuta na kuwateketeza mpaka walipofafariki

 

Thursday 11 October 2012

MNAOKULA VYAKULA VYA MIFUKO(PACKAGE)..MNAONA HII KITU KUWENI MAKINI



MNAOKULA VYAKULA VYA MIFUKO(PACKAGE)..MNAONA HII KITU KUWENI MAKINI





DANGEROUS IMPORTED FOODS
The whole world is scared of China making 'black hearted goods'. Can you differentiate which one is made in the USA , Philippines , Taiwan or China ? For your information ... the first 3 digits of the barcode is the country code wherein the product was made.

Sample: all barcodes that start with 690.691.692 until 695 are all MADE IN CHINA. 
4 71 is Made in Taiwan .

This is our human right to know, but the government and related department never educate the public, therefore we have to RESCUE ourselves.

Nowadays, Chinese businessmen know that consumers do not prefer products 'made in china', so they don't show from which country it is made.

However, you may now refer to the barcode, remember if the first 3 digits is 690 to 695, then it is Made in China ...

00 ~ 13 USA & CANADA
30 ~ 37 FRANCE
40 ~ 44 GERMANY
49 ~ JAPAN
50 ~ UK
57 ~ Denmark
64 ~ Finland
76 ~ Switzerland and Liechtenstein
628 ~ Saudi-Arabian
629 ~ United Arab Emirates
740 ~ 745 - Central America
All 480 Codes are Made in the Philippines.

DO NOT BUY FOOD PROCESSED IN CHINA , HONG KONG , VIETNAM AND THAILAND !!! there are no food inspection regulations!!!

Tuesday 9 October 2012

MAAJABU YA DUNIA,..BINADAMU WA KWANZA KUISHI BILA MOYO KWA MIEZI 6 SASA HUHU HAPA


MAAJABU YA DUNIA,..BINADAMU WA KWANZA KUISHI BILA MOYO KWA MIEZI 6 SASA HUHU HAPA

  






















A 37-year-old man from Czech Republic recently became the first man to live without a heart for six months.

Jakub Halik, a former firefighter lived without a pulse for six months after undergoing pioneering surgery in April when doctors removed his heart and replaced it with mechanical pumps, according to The Sun.

On April 3rd, Halik became the second man to undergo the revolutionary procedure after the first patient, Craig Lewis, died a few weeks after surgery in Texas in 2011. The father-of-one had been in peak physical condition until he collapsed and doctors found an aggressive tumor growing inside his heart.

Doctors had told Halik that he wouldn’t survive a heart transplant because he wouldn’t be able to take the necessary drugs prescribed afterwards because of his cancer. Halik, who is from Neratovice in the Czech Republic, was left with no other choice but to undergo a risky operation to remove his heart completely and replaced with a fake one until he could recover from the cancer.

“It was hard for me but I didn’t have any other chance at all. It was acknowledged that with the tumor I can survive for about one year and I decided to fight and do it this way,” Halik told reporters at a press conference 148 days after his operation, according to Reuters.
Surgeons at the Institute for Clinical and Experimental Medicine in Prague spent eight hours operating on Halik. They had implanted two 20cm pumps with propellers into Halik’s chest.

Each propeller had the ability to spin at 10,000 rotations per minute to mimic the pumping action of the organ. The pumps were designed to perform the separate actions of the left and right side of the human heart. One of the devices pumps blood to the lungs while the other sends oxygenated blood back to the circulatory system.

However, the only thing they cannot replicate is the pulse. “I don’t even realize it, because the functions of the body are the same, only my heart is not beating and I have no pulse anymore,” Halik said. “This is the only difference but otherwise I am functioning like a healthy man at present.”

The pumps were powered by batteries that last between eight and 12 hours before they need to be recharged. After the surgery Halik’s heart had deteriorated rapidly and tests showed that he had internal bleeding and kidney failure. His muscles had also started to weaken and he lost a lot of a lot of weight.

Despite his rapidly deteriorating body, Halik was able to make a remarkable recovery and is “doing extremely well” says Head Surgeon Jan Pirk. Halik, who is currently on the waiting list for a heart transplant, said his life had been transformed after the surgery. “It was a massive relief when I was told the surgery had gone well and everything was okay,” Halik said. “I’m used to it all now. I don’t even realize I don’t have a heart anymore.”

“I feel great though. It’s amazing to think I’m functioning like a completely healthy man when I don’t even have a heart,” he added.

KALI YA MWAKA...PICHA JAMAA ATIKISA ENEO LA MAHAKAMA YA KISUTU..POLISI WAHAHAAA



KALI YA MWAKA...PICHA JAMAA ATIKISA ENEO LA MAHAKAMA YA KISUTU..POLISI WAHAHAAA


Askari wa Jeshi la Polisi wakijihami na matambara pamoja na mifuko ya nailoni ili kumdhibiti mtuhumiwa aliyejipaka kinyesi mwili mzima na kutaka kuwakimbia askari kwenye mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo. Mtuhumiwa huyo ambaye jina lake halikupatikana mara moja alidaiwa kuwa ni mwizi wa simu lakini hakimu alimwachilia huru kutokana na kukosekana ushahidi hata hivyo askari waliendelea kumshikilia tena jambo ambalo lili muudhi na aliporudi mahabusu aliamua kujipaka kinyesi mwilini.
Askari wakimdhibiti mtuhumiwa huyo kwa kutumia matambara na mashuka mazito kutokana na kuwa na kinyesi kingi.
Akipandishwa kwenye gari la polisi na kuondoka nae.
Akilazimishwa kuvaa nguo.
Akiondolewa eneo hilo la Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

MAPENZI YATIKISA SHULE,WANAFUNZI WATWANGANA,WALIMU WATWANGANA..FFU WAKOA JAHAZI


MAPENZI YATIKISA SHULE,WANAFUNZI WATWANGANA,WALIMU WATWANGANA..FFU WAKOA JAHAZI

 

Picture
Habari imeandikwa na Masau Bwire via gazeti la Majira

KATIKA hali isiyo ya kawaida, wanafunzi wa Shule ya Sekondari Makumbusho, iliyopo Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam, jana walimshambulia na kumjeruhi vibaya mwalimu wao aliyefahamika kwa jina moja la Bw. Epimack, ambaye aliumia usoni.

Tukio hilo limetokea jana saa tano asubuhi baada ya Bw. Epimack kwenda kuamulia ugomvi wa mwanafunzi wa kike na kiume ambao wanasoma kidato cha nne shuleni hapo.

Inadaiwa wanafunzi hao walikuwa wakipigana darasani kutokana na wivu wa kimapenzi baada ya mwanafunzi wa kike kutangaza kumkataa aliyekuwa mpenzi wake. Hali hiyo ilimkasirisha mwanafunzi aliyeachwa ambaye aliamua kumshambulia aliyekuwa mpenzi wake (mwanafunzi wa kike), kwa mateke na ngumi katika sehemu mbalimbali za mwili. Mbali ya kipigo hicho, mwanafunzi aliyeachwa aliahidi kuendeleza dozi ya kichapo popote watakapokutana hadi atakapoamua kurudisha uhusiano wao wa kimapenzi.

Baada ya Bw. Epimack kufika darasani na kuamlia ugomvi huo, alijikuta ananunua kesi kutokana na baadhi ya wanafunzi kuamua kumvamia na kuanza kumshambulia kwa kumpiga ngumi za uso. 

Epimack aliokolewa na walimu wenzake wakati tayari uso wake ukiwa umeumuka vibaya kwa kipigo. Baada ya walimu hao kumuokoa mwenzao, mwanafunzi ambaye alianzisha ugomvi huo alikamatwa na kufungiwa ofisini lakini alianzisha vurugu nyingine hivyo walimu shuleni hapo waliamua kupiga simu polisi ili kuomba msaada. Polisi walipofika shuleni hapo, walimchukua mwanafunzi huyo na wenzake waliobainika kuhusika kumpiga Bw. Epimack.

Jambo la kushangaza, baada ya wanafunzi hao kuingizwa kwenye gari la polisi, wanafunzi wote wa kidato cha nne walilizingira gari hilo na kulizuia lisiondoke na wenzao huku wakirusha mawe. Kutokana na hali hiyo, polisi walilazimika kufyatua mabomu ya machozi hewani ili kuwatawanya wanafunzi hao lakini vurugu hizo zilizidi kuongezeka hivyo walilazimika kuongezwa polisi wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU), ambao walifanikiwa kuzituliza.

Ofisa mmoja wa Jeshi la Polisi ambaye jina lake halikufahamika mara moja, aliwakusanya wanafunzi hao na kuwaambia wenzao waliokuwa wakishikiliwa na polisi hawataondoka nao. Aliwataka wanafunzi waliokamatwa warudi shuleni hapo leo kwa Mkuu wa shule wakiwa na wazazi wao na baada ya polisi hao kuondoka, aliingia Ofisa Elimu wa Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam, ambaye alijitambulisha kwa jina moja la Sanga.

Baada ya ofisa huyo kufanya mazungumzo na Mkuu wa shule hiyo, aliwakusanya wanafunzi wote na kutoa tamko ambalo liliwakera baadhi ya walimu wa shule hiyo, “Natoa tamko kwamba, wanafunzi wote wa Sekondari ya Makumbusho, waliosajiliwa kufanya mtihani mwaka huu, Jumatatu wataingia darasani na kufanya mtihani bila masharti yoyote na hakuna mzazi atakayeitwa,” alisema ofisa huyo.

Baadhi ya walimu shuleni hapo waliifananisha kauli ya ofisa huyo na methali isemayo “mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu” wakimaanisha kama wanafunzi hao wangekuwa wamempiga yeye, asingethubutu kusema maneno hayo.

Walimu hao walidai shule hiyo imeharibika kutokana na kiongozi mmoja shuleni hapo (jina tunalo), kushindwa kuiongoza na kuomba viongozi wa ngazi za juu kumhamisha ili apatikane mwingine atakayerejesha nidhamu ya wanafunzi, “Wanafunzi wanavuta bangi hadharani, wanacheza kamali hadi darasani, masuala ya mapenzi kati yao ni ya wazi kabisa lakini kiongozi huyu akipelekewa mwanafunzi mwenye matatizo ya utovu wa nidhamu hachukui hatua yoyote zaidi ya kusema tusiwaonee watoto wa watu,” walisema.