B

Total Pageviews

b

b



Funny Photos at http://www.funny.org.in

;;;;



Funny Photos at http://www.funny.org.in

xx

clock2

Thursday 30 August 2012

UEFA CHAMPION LEAGUE,,,PITIA HAPA UONE TIMU YAKO IPO CHUNGU GANI,MAKUNDI NA RATIBA LEO


UEFA CHAMPION LEAGUE,,,PITIA HAPA UONE TIMU YAKO IPO CHUNGU GANI,MAKUNDI NA RATIBA LEO

UEFA_CHAMPS_LIGI>>KUFANYIKA Monaco!
>>MECHI MAKUNDI kuanza Septemba 18 na 19
LEO huko Monaco kutafanyika Droo ya kupanga Makundi 8 ya Timu 4 kila moja ya UEFA CHAMPIONZ LIGI ambayo Fainali yake itachezwa Jijini London, Uwanja wa Wembley, Jumamosi Mei 25, 2013.
Timu 32, 22 zilipitishwa moja kwa moja na zitanzia hatua hii na 10 zilifuzu kutoka Raundi ya Mchujo, zimegawanywa katika Vyungu vinne kufuatana na Ubora wao kwa mujibu wa UEFA huku Chungu Namba 1 kikiwa na Magwiji kama vile Chelsea, ambao ni Mabingwa Watetezi, FC Barcelona, Manchester United, Arsenal, Real Madrid, Bayern Munich, FC Porto na AC Milan.
Kwenye Droo hiyo, Timu kutoka Nchi moja haziwezi kupangwa Kundi moja, na kutoka kila Chungu itatolewa Timu moja moja ili kupata Timu 4 kuunda Kundi moja.
Mechi za kwanza za Makundi zitachezwa Septemba 18 na 19.
CHUNGU Namba 1
-Chelsea
-FC Barcelona
-Manchester United
-Arsenal
-Real Madrid
-Bayern Munich
-FC Porto
-AC Milan.
CHUNGU Namba 2
-Valencia CF
-SL Benfica
-FC Shakhtar Donetsk
-FC Zenit St Petersburg
-FC Schalke 04
-Manchester City FC
-SC Braga
-FC Dynamo Kyiv
CHUNGU Namba 3
-Olympiacos FC
-AFC Ajax
-RSC Anderlecht
-Juventus
-FC Spartak Moskva
-Paris Saint-Germain FC
-LOSC Lille
-Galatasaray AŞ
CHUNGU Namba 4
-Celtic FC
-Borussia Dortmund
-FC BATE Borisov
-GNK Dinamo Zagreb
-CFR 1907 Cluj
-Málaga CF
-Montpellier Hérault SC
-FC Nordsjælland
++++++++++++++++++++++++++++
RATIBA HATUA YA MAKUNDI
-Mechi ya 1= Septemba 18 na 19
-Mechi ya 2= Oktoba 2 na 3
-Mechi ya 3=Oktoba 23-24
-Mechi ya 4=Novemba 6 na 7
-Mechi ya 5=Novemba 20-21
-Mechi ya 6=Desemba 2 na 5
RATIBA HATUA YA MTOANO
-RAUNDI YA TIMU 16:
-Mechi ya 1=12 na 20 Februari 2013
-Mechi ya 2=5 na 13 Machi 2013
-ROBO FAINALI:
-Mechi ya 1=2 na 3 Aprili 2013
-Mechi ya 2=9 na 10 Aprili 2013
-NUSU FAINALI
-Mechi ya 1=23 na 24 Aprili 2013
-Mechi ya 2=30 Aprili  na 1 Mei 2013
-FAINALI
25 Mei 2013
UWANJA wa WEMBLEY, London.

No comments:

Post a Comment