B

Total Pageviews

b

b



Funny Photos at http://www.funny.org.in

;;;;



Funny Photos at http://www.funny.org.in

xx

clock2

Thursday 30 August 2012

TAFADHALI WATANZANIA MSAADA WENU KWA MTOTO HUYU



TAFADHALI WATANZANIA MSAADA WENU KWA MTOTO HUYU

Na Festus Pangani, Njombe -- Mtoto Juliana Mwinuka wa kijiji cha Mbugani kata ya Mavanga wilayani Ludewa, Njombe, anaomba msaada kwa wadau mbalimbali ili kumsaidia kupata matibabu baada ya kuungua moto na hali yake ikiwa mbaya sana.

Mtoto huyo ambaye kwa sasa anaishi na bibi yake ambaye hana uwezo, baada ya baba mzazi kumtelekeza mara tu baada ya kupatwa na mkasa huo miaka miwili iliyopita.

Juliana ameishi katika maumivu hayo kwa miaka miwili na hana mtu wa kumsaidia kufanikisha matibabu yake.
Akaunt kwa ajili ya michango ya fedha ni6012300170 na kwa M-PESA ni 0755 008 038

via Njombe-Yetu.blogspot.com
Picture

No comments:

Post a Comment