B

Total Pageviews

b

b



Funny Photos at http://www.funny.org.in

;;;;



Funny Photos at http://www.funny.org.in

xx

clock2

Thursday 30 August 2012

UJUMBE TOKA KWA MADAM RITA PAULSEN


UJUMBE TOKA KWA MADAM RITA PAULSEN

Usiruhusu mtu akuamulie maisha yako! 

Katika haya maisha, watu watajaribu kukwambia vitu ambavyo unaweza na hauwezi kufanya. Pia watajaribu kukuamulia wewe uwe mtu wa aina fulani na mwenye tabia fulani au usiwe mtu aina fulani.

Kama kweli unauwezo wa kufanya kitu fulani na unaamini hivyo, basi usikubali kukata tamaa. -------> Nawatakia siku njema.

No comments:

Post a Comment