B

Total Pageviews

b

b



Funny Photos at http://www.funny.org.in

;;;;



Funny Photos at http://www.funny.org.in

xx

clock2

Thursday 30 August 2012

PICHA 10 REAL MADRID IKIMUADABISHA BARCELONA JANA


PICHA 10 REAL MADRID IKIMUADABISHA BARCELONA JANA

Real Madrid jana iliweza kuionesha umwamba klabu ya soka ya Barcelona kwa kuichapa magoli 2-1 kwenye uwanja wa Santiago Bernabeu magoli yaliyofungwa kwenye kipindi cha kwanza. Magoli ya Madridi yaliwekwa kimiani ya Gonzalo Higuian na Christian Ronaldo waliotikisa ngome ya Barca kwenye mechi ya jana ambapo Gonzalo alianza badala ya Karim Benzema kama ilivyozoeleka. Barca ilicheza mechi hiyo ikiwa na wachezaji 10 baada ya Adriano kupewa kadi nyekundu kutokana
na kumchezea rafu Ronaldo, Goli la Barca lilifungwa na Lionel Messi.Kwa ushindi huo kunaifanya Madrid kutwaa ubingwa wa Supercopa kwa jumla ya magoli 4-4  baada ya kuchapwa 3-2 kwenye mechi ya kwanza hivyo wana faida ya magoli mengi ya ugenini yaliyowapa taji hilo.


















You might also like:

No comments:

Post a Comment